ELEVACION: HAKUNA MUNGU
(KISWAHILI)
Hakuna mungu kame wewe
(3)
Ewe mungu wangu
Twasema
asante (3)
Ewe
mungu wangu
Wewe
ni alfa na
omega (3)
Ewe
mungu wangu
Hakuna
ushindi kama wako
(3)
Ewe
mungu wangu
Hakuna
baraka kama zako
(3)
Ewe
mungu wangu
No hay comentarios.:
Publicar un comentario